Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kukamilisha pendekezo la mpango wa amani wa Gaza atakapokutana baadae leo na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu+++Serikali ya Tanzania inatuhumiwa na shirika la haki za binaadamu la Human Rights Watch kwa kuzidisha ukandamizaji wa kisiasa dhidi ya wakosoaji wake.