Inaelezwa kuwa karne ya sasa, wanawake wengi huchelewa kuzaa kutokana na sababu mbalimbali kama masomo, kazi, biashara, na baadhi huanza kuzaa tu baada ya ndoa. Hali hii mara nyingine husababisha changamoto za uzazi, ikiwemo uvimbe kwenye mfumo wa uzazi au hata kutoweza kupata mtoto kabisa.

Je, mdau wa #MediCounter unafikiri ni umri gani unaofaa kwa mwanamke kuanza kuzaa Tunakuletea maoni ya Daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi wa wanawake kutoka kliniki ya Spartial Specialised, Dkt. Mussa Msemo.

#AzamTVUpdates
✍Juliana James
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *