Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha NRA, Almas Kisabya, ameahidi kutunga sheria kali za kupambana na mmomonyoko wa maadili nchini, sambamba na kufuta bili za maji kwa wananchi, ambapo gharama zote zitabebwa na serikali.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi