Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimehitimisha kampeni zake jijini Dar es Salaam leo, ambapo mgombea wake wa urais, Salum Mwalim ameahidi kuunda serikali yenye upatanisho kwa wananchi wake kwa kutengeneza ushirikiano na maridhiano.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *