“Chama chetu chama cha Mapinduzi ndio kimebeba matumaini ya Watanzania ndani ya nchi yetu, kuanzia vijana ambao ndio moyo wa nchi yetu, wanawake walezi wa Taifa hili, lakini makundi mbalimbali wakiwemo kina Baba, Watoto na Wazee” Kenani Kihongosi – Katibu Mwenezi wa CCM.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *