#HABARI: Aliyekuwa Meya wa Halmashauri ya Manisapaa ya Tabora na Mgombea Udiwani wa Kata ya Isevya Mkoani Tabora kupitia CCM Bw. Ramadhan Kapela, ametamatisha kampeni zake za kuomba kura, akiahidi kusimamia haki za watu na kuchochea maendeleo ya kata hiyo na watu wake.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *