
Hujambo, uhali gani? Uko tayari kwa
#BSSNextLevelRevolution ?
Sisi ni kama muda hauendi…Tukutane kwenye usahili kuanzia Novemba 22, 2025 kabla ya burudani kamili kwenye televisheni yako kuanzia Desemba 21 mwaka huu.
Hii ni habari nyingine ya kimapinduzi ya burudani.
#BongoStarSearch2025 #BongoStarSearch #BSS2025