Huko Mwanza, kwenye viwanja vya Soko la Machinjioni, mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Georges Busungu amehitimisha kampeni zake akiahidi kulijenga upya jiji hilo kwa kufufua mpango wa maboresho uliozinduliwa takribani miaka sita iliyopita.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *