Ikiwa imebaki siku moja kuelekea #UchaguziMkuu2025 Jumatano hii…Je, umejipanga kumpigia kura kiongozi wako kwenye ngazi ya udiwani, ubunge na urais?

Tuandikie maoni yako nasi tutayasoma mbashara kwenye #AzamNews kuanzia saa 2:00 usiku #UTV chaneli namba 108.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *