Mgombea wa Chama cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele leo katika viwanja vya Zakhiem, wilayani Temeke, Dar es Salaam ameahidi kuboresha sekta ya elimu kwa kuanzisha mtaala mmoja wa taifa ambao wanafunzi wote watautumia kusoma huku wakiwalipa gharama.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *