Wataalamu wa mazingira kutoka nchi mbalimbali Afrika wameanza kikao cha kuandaa mkakati wa pamoja wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo yameendelea kuchangia kuathiri nyanja mbalimbali za maisha ikiwemo afya na uchumi.
Taarifa ifuatayo ina undani zaidi.
Mhariri @moseskwindi