Zikiwa zimesalia siku mbili kuelekea uchaguzi mkuu, Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Biteko amehitimisha kampeni zake kwa kuwataka wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi ili kutumia haki yao ya msingi kuwachagua viongozi watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi