#HABARI: Bweni la wanafunzi wa Sekondari ya Mkuu iliyopo Rombo mkoani Kilimanjaro limeteketea kwa moto usiku wa Oktoba 27, mwaka huu.

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro Jeremia Mkomagi, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amedai askari walifika katika eneo hilo na kufanikiwa kuuzima moto huo huku chanzo cha awali kikiwa hakijafahamika.

Amedai katika tukio hilo hakuna majeruhi wala vifo vilivyojitokeza na kudai vitu vilivyotekea ni bweni (01), vitanda(89) pamoja na magodoro (160), ofisi moja na madaftari ya wanafunzi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *