#HABARI: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamisha Msaidizi Mwandanizi wa Polisi (SACP) Marco Chilya, amewatoa hofu wananchi wa Mkoa Ruvuma kuwa Jeshi hilo limejipanga vizuri kuimarisha hali ya Ulinzi na Usalama wakati wa Uchaguzi na baada ya Uchaguzi.
Amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, ili kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kuwachagua Viongozi waliowakusudia.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.