#HABARI: Katibu wa Umoja wa Wazee Mkoa wa Arusha na Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) Bw. Salim Ibrahim, amewaasa Vijana kutokubali kuwa chanzo cha kuvuruga amani kwani kuna maisha baada ya uchaguzi.

Chama cha Wazee kimewataka Vijana kutambua kuwa changamoto ni sehemu ya maisha na njia pekee ni kuzikabili na kamwe sio kuvuruga amani.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Arusha Bw. Joseph Mkude, amesema maandalizi ya kuwawezesha wananchi kupiga kura yamekamilika, na ulinzi umeimarishwa katika Mitaa yote yenye vituo vya kupigia kura, hivyo wananchi wote wenye sifa wajitokeze bila wasiwasi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *