#HABARI: Rais wa Cameroon Paul Biya, ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais na mahakama ya kikatiba akiwa amepata asilimia 53.66 ya kura.

Rais Biya ana umri wa miaka 92 na amekuwa madarakani kwa miaka 43, ameshinda muhula wa nane kwa kumshinda mpinzani wake mkuu, Issa Tchiroma Bakary, waziri wa zamani aliyeibuka wa pili kwa asilimia 39.19 ya kura.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *