#HABARI: Wananchi wa Kahama mkoani Shinyanga wakiwemo Maafisa Usafirishaji wanaotumia pikipiki na bajaji, mama ntilie, machinga na wapiga debe wamebainisha maandalizi yao katika ushiriki wa uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025, wakisisitiza umuhimu wa vijana wenzao kutotumika kisiasa na kwa maslahi binafsi ya wachache wanaowahamasisha kufanya vurugu na maandamano siku ya uchaguzi mkuu.
Maafisa usafirishaji hao mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kahama Bw. Frank Nkinda, wamemuahidi mkuu huyo wa wilaya kuwa mara baada ya kupiga kura watarejea mtaani na kuendelea na shughuli za usafirishaji badala ya kukaa vituoni ama kuingia mitaani kuandamana.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.