#MICHEZO: Baada ya mchezo kati ya Yanga SC dhidi ya Silver Strikers ya Malawi kumalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa goli 2 -1, Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe, alionekena kuongea na mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube, ambaye alikuwa mnyonge baada ya kutofunga katika mchezo huo na kumpa ushauri wa kumtia moyo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *