Mkuu wa mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi amewahimiza wananchi wa mkoa huo kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu kesho Oktoba 29, 2025 na kusema kuwa tayari vifaa vyote vinavyohitajika vimeshafika.
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates