Umewahi kusikia program ya Abacus kuwa inasaidia au kurahisisha watoto kufanya somo la hisabati kwa urahisi? Tazama wanafunzi kutoka Shule ya Macedonia wakionesha namna ya kutumia program hiyo kufanya hesabu ngumu, kwa urahisi zaidi.
✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates