Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amewahakikishia Watanzania kuwa serikali imeandaa mazingira salama ya mazuri kwa ulinzi nchi nzima katika siku ya upigaji kura wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika kesho Oktoba 29, 2025.
Waziri Bashungwa ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mhariri @moseskwindi