#UchaguziMkuu2025 | Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Rais,mbunge na diwani katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma.
#AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025