
Mkurugenzi Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) amelaani siku ya Ijumaa vurugu zinazoongezeka dhidi ya wafanyakazi wa misaada, hasa huko Gaza na Sudan, ambapo wafanyakazi watano wa shirika la Hilali Nyekundu waliuawa.
Imechapishwa:
Dakika 1 Wakati wa kusoma
Matangazo ya kibiashara
“Kuna ongezeko la vurugu dhidi ya wafanyakazi wa misaada huko Sudan, Gaza, na kwingineko, jambo ambalo tunaliona kuwa la kutisha sana,” Pierre Krahenbuhl ameliambia shirika la habari la Agence France Presse (AFP) katika mahojiano huko Manama.
Taarifa zaidi zinakujia…