Hali tete Sudan UNICEF ikihofia hali ya watoto huku viongozi wa WFP wakitakiwa kuondoka
Nchini Sudan hususani katika eneo la El Faher kusinimagharibi mwa nchi, hali ya kibinadamu inazidi kuwa mbaya kila siku, huku ghasia, njaa, na vizuizi vya utoaji misaada vikiendelea kuathiri mamilioni…