NBC Premier League inaendelea wikiendi hii
Jumamosi Novemba 8, Saa 10:00 jioni Pamba Jiji watakuwa uwanja wa nyumbani CCM Kirumba wakiwakarobisha Singida BS.
Saa 1:00 usiku, JKT Tanzania watakuwa dimba la nyumbani Meja Jenerali Isamuhyo wakiwaalika Simba SC.
Jumapili Novemba 09,mabingwa watetezi Yanga SC watakuwa uwanja wa KMC Complex wakicheza na KMC FC.
Saa 1:00 usiku, Namungo FC watakuwa nyumbani uwanja wa Majaliwa wakiwaalika matajiri wa jiji AzamFC.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports1HD.
#NBCPL #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)