Je, unafahamu kwamba Meya mpya wa jiji maarufu zaidi nchini Marekani, New York, Zohran Mamdani, alizaliwa na kukulia nchini Uganda? Mafanikio yake ya kisiasa yamewafanya raia wa Uganda kujivunia kwa dhati. Akiwa New York, Mamdani ameahidi kuleta mabadiliko makubwa katika upatikanaji wa huduma, kuendeleza usawa wa kijamii na kupambana na ubaguzi wa rangi.