Ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Afrika ulisema jana Jumatano kwamba uchaguzi wa Tanzania uliofanyika mnamo Oktoba 29, haukukidhi viwango vya kidemokrasia+++Urusi imesema vikosi vyake vinaendelea kusonga mbele maeneo ya Kaskazini ya mji wa Pokrovsk nchini Ukraine.