Kenya: Kampuni ya Safaricom yapata faida zaidi
Mapato ya kutoa huduma yalipanda hadi shilingi bilioni 199.9 katika muda wa miezi sita hadi mwisho wa mwezi wa Septemba, kutoka shilingi bilioni 179.9 katika kipindi kama hicho mwaka uliotangulia, ilisema Alhamisi.