Katika hati, Huduma ya Hatua za Nje za Ulaya imeelezea mapendekezo ya kupanua misheni mbili za kiraia za Umoja huo katika eneo hilo zitakazoangazia msaada wa mpakani na kusaidia marekebisho ya kisera na haki ya Mamlaka ya Palestina .

Pia imesema ujumbe huo wa msaada wa polisi wa Umoja wa Ulaya EUunaweza kuchukua uongozi katika kutoa mafunzo kwa jeshi la polisi la Palestina huko Gaza kwa lengo la kutoa mafunzo kwa kikosi kamili cha polisi 13,000 cha Palestina.

Hati hiyo pia imetoa wazo la kupanua ujumbe wa ufuatiliaji wa mipaka wa Umoja huo wa Ulaya huko Rafah hadi vivuko vingine vya mpakani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *