Erdogan atoa wito wa kuendeleza mazungumzo ya Istanbul ili kumaliza vita vya Urusi na Ukraine

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, ameeleza kuwa Ankara iko tayari kujadili na Urusi “mapendekezo yoyote yanayoweza kuharakisha kusitishwa kwa mapigano, na kuweka msingi wa amani ya haki na ya kudumu.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *