Je, unajua kwamba kuna maktaba inayoazimisha binadamu badala ya vitabu?

Huko nchini Denmark kuna ‘maktaba ya binadamu’, mahali ambapo wasomaji huazima watu kama vitabu na kuzungumza nao moja kwa moja. Jionee mwenyewe….

Kwa mfano, ikitokea maktaba hii imeanzishwa hapa mjini, ungependa kuazima ‘kitabu-mtu’ gani na kuzungumza nacho? Tuandikie

#AzamTVUpdates
✍Jairo Mtitu
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *