Raia wa Sudan Kusini kurejeshwa nyumbani kutoka US
Awali Sudan Kusini iliorodheshwa miongoni mwa mataifa ambayo yangefaidika kwa muda mnamo Oktoba 13, 2011, kulingana na mapigano nchini humo kati ya serikali ya rais Salva Kiir na makamu wake…
Awali Sudan Kusini iliorodheshwa miongoni mwa mataifa ambayo yangefaidika kwa muda mnamo Oktoba 13, 2011, kulingana na mapigano nchini humo kati ya serikali ya rais Salva Kiir na makamu wake…
Uchambuzi wa data mpya kutoka kwa Ushirikiano wa Awamu Jumuishi ya Usalama wa Chakula (IPC) iligundua kuwa watoto wapatao milioni 14—mmoja kati ya watano – watakabiliwa na viwango vya njaa…
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita ICC imethibitisha mashtaka ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu dhidi ya mbabe wa kivita mtoro wa Uganda Joseph Kony bila…
Uamuzi huo umeidhinishwa na ZPC ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali ya Mapinduzi ya...
DODOMA: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanya uteuzi wa Wabunge Wanawake wa Viti Maalum 115 kati ya idadi ya Wabunge 116 wanaopaswa kuteuliwa, kufuatia masharti ya Ibara ya 66…
Kimbunga Kalmaegi kimesababisha upepo mkali na mvua kubwa huko Vietnam iliyopelekea watu watano kuuwawa, kuharibu majumba kung'oa mapaa ya majengo pamoja na miti.
Mahakama hiyo imetoa amri hiyo leo Ijumaa, Novemba 7 , 2025 wakati shauri hilo lilipotajwa kwa...
Ni safari ya zaidi ya kilomita 40.96 kutoka Kifaru wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro kwenda...
Simba imesema kuwa inahitaji kupata ushindi wa idadi nzuri ya mabao dhidi ya JKT Tanzania...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi anatarajiwa kuhutubia na kulizindua Baraza la 11 la...
KIUNGO mshambuliaji wa miamba ya soka, Manchester United, Bryan Mbeumo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Kuu England (EPL) kwa mwezi Oktoba. Sambamba na Mbeumo, kocha wa mashetani…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahimiza wananchi kuendeleza utamaduni wa kuiombea nchi amani, ili mipango na miradi ya maendeleo iweze kutekelezwa kwa…
ARUSHA: Mashindano ya Ligi ya Vijana wenye umri chini ya miaka 13 yanatarajiwa kuendelea kesho Novemba 8 kwa michezo minne itakayochezwa katika viwanja vya Shule ya Kimataifa Kennedy House, Usa…
Idadi ya watu wanaokabiliwa na njaa mashariki ya DRC imeongezeka tangu mwaka uliopita kulingana na ripoti ya Umoja wa Mataifa. Imechapishwa: 07/11/2025 – 13:34Imehaririwa: 07/11/2025 – 13:38 Dakika 1 Wakati…
UNICEF kwa mara nyingine tena imetahadharisha kuhusu kuzidi kuwa mbaya mgogoro wa kibinadamu huko Gaza na kusema kuwa zaidi ya watoto milioni moja katika ukanda huo bado wanakabiliwa na ukosefu…
Miongoni walioshikwa ni mfanyabiashara, Jenifer Bilikwiza Jovin almaarufu Niffer amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo Ijumaa.
Waendesha mashtaka nchini Tanzania wamewafungulia mashtaka watu 98 kwa makosa ya uhaini, wakihusishwa na maandamano yenye vurugu yalioiibuka wakati wa uchaguzi wa wiki iliopita. Imechapishwa: 07/11/2025 – 13:10Imehaririwa: 07/11/2025 –…
Mitandao ya kijamii imeendelea kuwa sehemu muhimu kwa wasanii wa Bongo Fleva kujenga majina...
DAR ES SALAAM; MFANYABIASHARA Jeniffer Jovin, maarufu ‘Niffer’(26)na wenzake 21wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakibabiliwa na makosa matatu yakiwemo ya uhaini. Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni…
Maelfu ya wanadiplomasia na wataalamu wa masuala ya tabianchi wanaelekea Belém, katika eneo la Amazon nchini Brazili, kwa ajili ya COP30 – mkutano wa hivi karibuni zaidi wa Umoja wa…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito kwa dunia kuharakisha mpito kutoka kwenye matumizi ya mafuta ya kisukuku kuelekea nishati safi, akisisitiza hatua hiyo lazima iwe ya…
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji la IOM, SungAh Lee, ametoa wito wa kuimarisha juhudi za kushughulikia hali ya wakimbizi wa ndani na wanaorejea makwao…
Zikiwa zimesalia siku mbili pekee kufungwa kwa zoezi la upigaji kura za kuwatafuta wanariadha...
Kaskazini Magharibi mwa Tigray watoto wamewezeshwa kwa kupatiwa vifaa kwa ajili ya kuanza upya shule baada ya vita ya muda mrefu shukrani kwa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na…
Mgogoro katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) unaendelea kuwa mbaya huku mapigano yakizidi, na kusababisha makumi ya maelfu ya watu kukimbia makazi yao na kuzidisha njaa kali,…
Unapokabiliana na ukatili na mauaji ya kimbari ni vema kuhakikisha wanaotekeleza wanafahamu kuwa wanafuatiliwa na kutazamwa ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa dhidi yao, amesema Chaloka Beyani Mshauri Maalum wa Katibu…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, migawanyiko na mifarakano baina ya Waislamu ndilo jambo hasa wanalolitamani maadui wa Uislamu.
Kenya imeitaka Tanzania itoe majibu kuhusu hali ya raia wake waliojipata kwenye mzozo wa baada ya uchaguzi, huku ikishinikiza serikali ya nchi hiyo ihakikishe usalama wao na kuchukua hatua dhidi…
Meaning of “Kibao cha Chapati” Swahili phrase:Kibao cha chapati,English translation:Chapati board or rolling board Explanation:“Kibao cha chapati” is a wooden board used in the kitchen when preparing chapati (a type…
Mbulu. Jamii ya Wahadzabe wanaoishi kwa uwindaji wa asili, kurina asali, kuokota matunda na...
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani wimbi jipya la uchokozi wa kijeshi unaozidi kufanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, na kuikumbusha jamii ya kimataifa na nchi…
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani wimbi jipya la uchokozi wa kijeshi unaozidi kufanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, na kuikumbusha jamii ya kimataifa na nchi…
MRADI wa Shule Bora upo hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa darasa jipya katika Shule ya Msingi Birikani, Halmashauri ya Mji Handeni, hatua inayotarajiwa kuongeza ufanisi wa ufundishaji na ujifunzaji…
Mbele ya Mahakama hiyo, Shirima alishtakiwa kwa kosa la mauaji kinyume na kifungu cha 196 na...
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania yamelaani ripoti za mauaji ya kulipiza kisasi yaliofanywa dhidi ya raia, baadhi wakiwa katika makazi yao wakati wa machafuko ya baada ya…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limemuondolea vikwazo Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa anayetarajiwa kukutana na Rais Donald Trump wa Marekani Jumatatu ijayo.
Uamuzi huo umechukuliwa kufuatia mkutano wa kamati kuu ya chama uliofanyika jioni ya Alhamisi, Novemba 6. Uamuzi huo unakuja baada ya uchaguzi wa urais wa Oktoba 25, ambapo ugombea wa…
Waathiriwa wa shambulio la bomu kwenye ubalozi wa Marekani nchini Kenya mnamo mwaka 1998 wanasema wamekataa tamaa baada ya uamuzi wa mahakama kuahirishwa. Imechapishwa: 07/11/2025 – 11:51 Dakika 1 Wakati…
Hali Tanzania inaripotiwa kurudi kwenye ushuwari wake, baada ya mauaji yaliyoshuhudiwa wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, zilizopelekea kufungwa kwa huduma za intaneti kulikosababisha athari za…
Wanafunzi wawili Keicy Winely mwenye umri wa miaka 12 na Shanice Achieng mwenye miaka 13 kutoka Kenya, walivumbua pipa la kutupia taka linalotumia "sensor" na hufunguka bila kuguswa kwa mkono…
Angalau watu 54 wamejeruhiwa leo Ijumaa, Novemba 7, kufuatia mlipuko karibu na shule huko Jakarta, mji mkuu wa Indonesia, amesema mkuu wa polisi wa eneo hilo Asep Edi Suheri, bila…
Mkuu wa jeshi la Ujerumani Carsten Breuer, ameonya leo kuwa Urusi haipaswi kabisa kufikiria kwamba inaweza kushinda vita dhidi ya Jumuiya ya Kujihami ya NATO au hata dhidi ya mwanachama…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatarajia kuwa hivi karibuni, kikosi cha kimataifa cha kuleta utulivu kinachoratibiwa na Marekani kitawasili Ukanda wa Gaza.
Kimbunga Kalmaegi kimepiga Vietnam baada ya uharibifu mkubwa nchini Ufilipino, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua watano na kuharibu zaidi ya nyumba 2,600. Haya yamesemwa leo na maafisa nchini humo.
Miripuko imesikika leo karibu na mji mkuu wa Sudan, Khartoum, unaodhibitiwa na jeshi, siku moja baada ya wapiganaji wa RSF kusema wamekubali pendekezo la usitishaji mapigano kwa sababu za kibinaadamu.
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, jana Alhamisi ilithibitisha mashtaka yote 39 ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu yanayodaiwa kufanywa na mbabe wa kivita wa Uganda, Joseph…
Baada ya kushinda tuzo tano za Grammy mwaka jana kutokana na wimbo maarufu wa ‘Not Like Us’...
Mashirika yasiyo ya kisetikali nchini Tanzania yanalaani vurugu na vitendo vya vikosi vya usalama dhidi ya raia hasa vijana kutoka upinznia kabla wakati na baada ya uchaguzi katika maeneo mbalimbali…
Kwa mara ya kwanza Bongo Fleva imeshuhudia video rasmi ya muziki iliyotengenezwa kwa teknolojia...