Marekani yakaribisha hatua zilizopigwa kati ya Rwanda na DRC kuelekea amani
Mshauri maalumu wa rais wa Marekani kuhusu masuala ya Afrika, Massad Boulos, amekaribisha hatua zilizopigwa na nchi za Rwanda na DRC kuelekea kupata muafaka wa kudumu baina ya pande hizo…