Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa viongozi wa Mashariki ya Kati kusikiliza kilio cha amani cha wananchi wao na kuweka mbinu mpya za kukabiliana na migawanyiko ya kisiasa, kijamii na kidini / Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameilaumu Urusi kwa kutumia mazungumzo yake na Marekani ili kujipunguzia vikwazo