#HABARI: Jeshi la Polisi nchini, limeagiza kukamatwa kwa madereva wa mabasi ya abiria, wanaotembea na pombe kwenye mabasi yao kwa lengo kunywa wakiwa safarini, kwani vitendo hivyo vya matumizi ya pombe kwa madereva ni chanzo cha ajali nyingi nchini kutokana na dereva kulewa na kushindwa kuhimili uendeshaji wa gari na kusababisha abiria kupoteza maisha, mali zao pamoja na kuwaacha wengine wakiwa na ulemavu wa kudumu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *