Waziri Mkuu wa Australia amuita Muislamu aliyemnyang’anya silaha mshambuliaji “shujaa wa Australia”

Waziri Mkuu wa Australia, Anthony Albanese, amesema taifa hilo halitagawanywa na vitendo vya kigaidi, huku maelezo zaidi yakijitokeza kuhusu moja ya mashambulizi mabaya zaidi katika historia ya hivi karibuni ya nchi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *