“Vijana wengi kwa sasa hivi wapo kwenye mitindo. Wapo wanaotaka kujifunza kupata makeup. Au tayari wanajua kusuka na wamejiajiri zile takataka zinafanyajwe ndio tunaanza kujifunza kupitia platform wanazozifuatilia ikiwemo za mitindo”- @nilerbernard, Mwanamitindo.
#sentrocloudstv
#LainiYawana