“Tumezindua kampeni ya Taka Sifuri na sisi hapa Tanzania tumekuwa sehemu ya dunia kuhakikisha kwamba mzigo wa mazingira unapungua ndio tunaanza sasa kujifunza kujua. Pia wapo wenzetu ambao walikuwa wanajua tumeanza kushirikiana nao kuhakikisha tunasambaza elimu kwa vijana kupitia platform wanazozifuatilia hasa kwenye platform za fashion”- Niler Bernard, @nilerbernard, Mwanamitindo
#SentroYaCloudstv
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana