ILE SIKU NDO LEO! Afcon 2025 kinawaka, Morocco v Comoros utamu uko hapa
HAYAWI hayawi yamekuwa. Baada ya kungoja kwa miaka, miezi, wiki na sasa ile siku imewadia na utepe wa mashindano ya kusaka ubingwa wa Afrika utakatwa huko Morocco usiku wa leo Jumapili.