
Rais wa Uturuki ametoa salamu za rambirambi kwa Waziri Mkuu Libya kufuatia ajali mbaya ya ndege
Recep Tayyip Erdogan ametoa salamu zake za rambirambi kwa Abdul Hamid Dbeibah katika mazungumzo kwa njia ya simu baada ya ajali ya ndege jijini Ankara iliyosababisha kifo cha mkuu wa majeshi ya Libya, mkurugenzi wa mawasiliano wa Uturuki amesema.