Steinmeier ahimiza mshikamano wakati wa KrismasiSteinmeier ahimiza mshikamano wakati wa Krismasi

Steinmeier, amebainisha kuwa wengi wanafuatilia juhudi zilizoongezeka za kidiplomasia za kumaliza vita  kati ya Urusi na Ukraine kwa matumaini, lakini pia kwa mashaka na wasiwasi.

Ameongeza kusema Ulaya inapaswa kutambua kwa pamoja nguvu na maadili yao ili kuchukua hatua.

Rais huyo, ambaye muhula wake unamalizika mwaka 2027, pia amewataka Wajerumani kuwa na ujasiri na kukumbatia mabadiliko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *