WAZAZI na walezi wametakiwa kuwa makini wanapowaruhusu watoto wao kwenda baharini kusherehekea, hususan katika kipindi cha sikukuu, ili kuepusha matukio ya ajali na madhara yanayoweza kuepukika.

Katika ufukwe wa Tanzanite, Bahari ya Hindi, watu wa rika na jinsia mbalimbali wameonekana wakijumuika kwa ajili ya kupumzika, kuogelea na kucheza, lakini watoto wengi wameonekana wakiogelea bila uangalizi wa karibu, hali inayohatarisha usalama wao. SOMA: Gwajima avalia njuga ubakaji ufukweni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *