DAR ES SALAAM: Riyard Mahrez ni kama amegoma kuzeeka hivi, katika maisha ya soka nadra sana ingawa inatokea kumkuta mchezaji wa miaka 34 akiwa bado anakiwasha.
Mpaka sasa AFCON 2025, Mahrez ameshaweka kamabani mabao matatu katika michezo miwili na ndiye kinara wa mabao.
Je kuna uwezekano wa kuwa mfungaji bora kwa namna unavyomuona?
