#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limemfikisha Mahakamani Mathias Fabiani John (25), mtumihiwa wa mauaji ya Bw. Juma Samli Napone (42), fundi ujenzi na mkazi wa mtaa Indiani Kota Kata ya Shangani, ambaye Disemba 14, 2025 alichukuliwa na Mtuhumiwa na kupelekwa kwenye pori la mikoko katika fukwe za Shangani, Disemba 17, 2025 mwili wake ulipatikana ukiwa umeanza kuharibika.

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi na kusainiwa na Kamanda Issa Seleman, Jeshi linatoa rai kwa wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi, badala yake watumie njia sahihi kutatua changamoto zao.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *