Katika kuwakwamua wakulima kufikia kilimo chenye tija wilayani Ludewa mkoani Njombe, Halmashauri ya wilaya hiyo kupitia mapato ya ndani imewezesha kuzalisha miche ya kahawa laki mbili na tatu (200,003) ili igawiwe bure kwa wananchi na vikundi mbalimbali, huku takribani miche laki tano na elfu tisini na tatu (593,000) ikitarajiwa kuzalishwa mwezi Januari, 2026 kwa dhamira ya kukuza uchumi wa mkulima mmojammoja na kuwa na kilimo endelevu cha zao la kibiashara.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *