Serikali kuanzisha kituo cha zana za kilimo Geita
SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo imetoa zana za kilimo ambazo ni trekta tano, pawatila 16 pamoja na viambata vyake kwa ajili ya kuwezesha kilimo cha kisasa na kuinua sekta hiyo…
SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo imetoa zana za kilimo ambazo ni trekta tano, pawatila 16 pamoja na viambata vyake kwa ajili ya kuwezesha kilimo cha kisasa na kuinua sekta hiyo…
GEITA: MINISTER for Minerals, Mr Anthony Mavunde has directed Mbogwe Zonal Mining Office to conduct an investigation into 191 Prospecting Licences (PL) that have remained undeveloped for an extended period.…
Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, leo Jumanne, Desemba 2, 2025 inatoa hatima ya usikilizwaji wa...
DAR ES SALAAM: THE government has reaffirmed its commitment to eliminating Peste des Petits Ruminants (PPR) by 2030, positioning Tanzania as a continental leader in Africa’s fight against the devastating…
Viongozi wa Afrika waliokutana Algiers siku ya Jumapili walitoa wito wa kutambuliwa rasmi uhalifu uliofanyika enzi za ukoloni barani Afrika, ufanywe kuwa ni uhalifu na kulipwe fidia kupitia mchakato unaoungwa…
Viongozi wa Afrika waliokutana Algiers siku ya Jumapili walitoa wito wa kutambuliwa rasmi uhalifu uliofanyika enzi za ukoloni barani Afrika, ufanywe kuwa ni uhalifu na kulipwe fidia kupitia mchakato unaoungwa…
Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Jaji Tomoko Akane, amesema kwamba vikwazo vya Marekani vilivyowekwa dhidi ya maafisa wakuu na majaji wa mahakama hiyo vimeathiri moja kwa moja…
Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Dkt. Denis Mukwege amelaani mchakato wa amani unaoendelea kati ya serikali ya Kinshasa na waasi wa…
DAR ES SALAAM: RULING CCM councillors across the country yesterday elected candidates for city and municipal mayoral positions, as well as chairpersons of town and district councils. Following the intra-party…
Rais wa Marekani Donald Trump Alhamisi hii atawakutanisha viongozi wa Rwanda na DRC mjini Washington, ambapo watatia saini makubaliano ya amani, ikiwa ni miezi kadhaa kupita tangu makubaliano ya awali…
TANZANIA ni nchi iliyojaliwa uzuri wa kila namna. Ina vivutio vingi vya utalii, madini, ardhi yenye rutuba inayokubali kila aina ya mazao na hali ya hewa nzuri inayomvutia mwanadamu yeyote…
LINDI: THE government has secured a major agricultural investment worth 640 million US dollars (about 1.6tri/-) for large-scale cassava production, a project expected to create more than 100,000 jobs over…
DAR ES SALAAM: LOCAL Government Authority (LGA) leaders have underscored the importance of community mapping through proper identification and registration of residents at village and street levels, saying it is…
DAR ES SALAAM: THE Independent Commission of Inquiry established to investigate the unrest during and after the October 29th General Election has unveiled a road map for implementing its 90-day…
ASKARI wa Jeshi la Magereza (31) jina limehifadhiwa anatuhumiwa kumuua mpenzi wake ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi, Bitie Chacha (25). Mwalimu huyo mkazi wa Bugweto A, Kata ya…
Wanachama tisa wa kundi la kihafidhina la Kiyahudi walitimuliwa siku chache baada ya mamlaka ya Colombia kuwaokoa watoto 17 huku uchunguzi wa kimataifa kuhusu dhehebu hilo ukiendelea.
TUME ya Ushindani (FCC) imesema akili unde ikitumika ipasavyo italeta tija ikiwa ni pamoja na kuongeza uwekezaji. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Khadija Ngasongwa alisema hayo alipozungumza na waandishi wa…
Maafisa walitangaza kwamba baadhi ya nyavu za nje zinazotumika kwenye kiunzi kwenye jengo la makazi hazikidhi viwango vya kustahimili moto.
Leo hii ukiingia shuleni, mwalimu ndiye anayeonekana kubeba mzigo mzima wa malezi ya watoto.
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 2, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Wakili Emmanuel Simh aliwaambia waandishi wa habari kuwa Ekane amekuwa akezuiliwa katika makao ya gendarmarie tangu alipokamatwa tarehe 24 Oktoba kwa mashtaka ya uasi.
Wadau wa elimu wamepongeza mpango wa Serikali wa kujenga Chuo cha Teknolojia ya Kidijitali...
RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kulihutubia taifa wakati akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mkutano huo…
"Mzozo kati ya Urusi na Ukraine umefikia kiwango kichachotishia usalama wa urambazaji katika Bahari Nyeusi," Rais wa Uturuki Erdogan anasema.
Wengi hukumbana na vikwazo kama kukosa vifaa vya kujisitiri wanapofika usichana, kukosa uhuru...
Pato la Taifa kwa kipindi cha Julai-Septemba ni $409.6B, data ya TurkStat inaonyesha.
Mamlaka ya afya nchini DRC Jumatatu ilitangaza kumalizika kwa mlipuko wa hivi punde wa ugonjwa wa Ebola, ambao umesababisha vifo vya watu 34 tangu Agosti.
Rais Donald Trump Jumatatu alizindua urais wa Marekani wa Kundi la 20 kwa kufuta tovuti ya mwenyeji anayeondoka Afrika Kusini.
Lenacapavir, inayochukuliwa mara mbili kwa mwaka, imeonyeshwa kupunguza hatari ya maambukizi ya VVU kwa zaidi ya asilimia 99.9, na kuifanya kiutendaji kuwa sawa na chanjo yenye nguvu.
Afisa wa zamani wa jeshi la Uingereza amefichua mauaji yaliyofanywa na askari wa kikosi maalumu cha Uingereza nchini Afghanistan na jinsi makamanda wa kikosi hicho walivyonyamazia kimya na kuficha uhalifu…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, ni Marekani ndiyo inayopaswa kurudi kwenye diplomasia kwa kuifanya Iran iwe na imani nayo.
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) limeonya kwamba wakimbizi nchini Ethiopia wako katika hatari ya kufa njaa kutokana na uhaba mkubwa wa fedha unaolilazimisha shirika…
Chombo cha habari cha Kizayuni kimefichua katika ripoti yake kwamba baada ya miaka miwili na miezi miwili ya vita vikali katika pande saba, jeshi la Israel limechakaa, maafisa wake wamechoka,…
Makumi ya maelfu ya watu huko Paris, mji mkuu wa Ufaransa, wametoa kauli mbiu "Muqawama; kutoka Paris hadi Palestina; wakiunga mkono Wapalestina.
Leo ni Jumanne tarehe 11 Jumadithani 1447 Hijria sawa na tarehe Pili Disemba 2025.
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa viongozi wa Mashariki ya Kati kusikiliza kilio cha amani cha wananchi wao na kuweka…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Boti hiyo iliyokuwa na abiria 42, ilizama Mto Luangatshimo.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi...
Toka kuanza kwa kesi yake, Netanyahu ameshindwa kukiri kosa lake, huku sheria za Israel zikimpa mamlaka rais kutoa msamaha iwapo mkosaji atakiri kosa lake.
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imewataka mwenyekiti na wajumbe wa Tume ya kuchunguza...
Wakati jiji la Dar es Salaam likipata wagombea wapya wanne wa nafasi ya umeya kupitia Chama cha...
Ritha Erasto (29) anaendelea kuvunja ukuta wa vikwazo vilivyomzuia kitaaluma miaka iliyopita, huku safari yake sasa ikifungua mjadala mpana juu ya nafasi ya mifumo mbadala ya elimu na namna mifumo…
Baadhi ya wazee katika kijiji cha Nyijundu, Wilaya ya Nyang’hwale, mkoani Geita wamejitokeza leo Disemba mosi 2025 kupima maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya…
Serikali imesema itawafutia hadhi ya ukimbizi, wakimbizi 238,956 wanaoishi nchini baada ya nchi zao kurejea kwenye hali ya amani, ambapo awali zilikumbwa na machafuko. Kauli hiyo ya serikali imetajwa leo…
SINGIDA: A special medical camp for the screening and treatment of heart diseases in children and adults has commenced in Singida Region, attracting a large number of residents seeking services.…
Mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyozikumba nchi nne za bara la Asia yamesababisha vifo vya takriban watu 1150, huku idadi hiyo ikiendelea kuongezeka kadri siku zinavyosonga tangu mvua kubwa zianze…
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has made significant progress in strengthening services related to HIV and AIDS countrywide, as new statistics reveal the state of infections and access to…
Anicet Ekane alikamatwa mwezi Oktoba kwa kosa kwa la ‘uasi’.
Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu...