Wananchi wa mtaa wa Saeni katika kata ya Misugusugu Kibaha mkoani Pwani wameiomba serikali kupitia Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kusimamisha uzalishaji wa viwanda vinavyotirisha maji taka yenye kemikali katika maeneo yao ya mashamba na makazi na kusababisha milipuko ya magonjwa na baadhi yao kuacha kilimo kutokana na athari ya maji hayo.

Mariam Songoro amefuatilia malalamiko hayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *