Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar yuko ziarani Somaliland katika hatua inayotajwa kuwa ya kihistoria na yenye uzito mkubwa wa kisiasa na kidiplomasia / Uganda inajiandaa kuingia kwenye uchaguzi mkuu,Januari 15