Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mawaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Ufaransa na Poland wanatarajiwa kukutana mjini Paris, ambapo uungaji mkono wao kwa Ukraine utakuwa miongoni mwa ajenda kuu za mazungumzo / Timu ya mwisho iliyokuwa ikiwakilisha eneo la la Afrika Mashariki na Kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeyaaga mashindano ya AFCON baada ya kufungwa na Algeria bao 1-0