Tofauti na mikutano ya kawaida ya makadinali, ambayo inaweza kufanyika mara kadhaa kwa mwaka, mkutano huu wa dharura unawakutanisha si tu makardinali wanaoishi Roma, bali makadinali wote 245.Kwa mujibu wa tovuti ya Habari ya Vatica, ajenda zinajumuisha majadiliano kuhusu nyaraka mbili muhimu za mageuzi zilizotolewa na mtangulizi wa Papa Leo, Papa Francis aliyefariki dunia Aprili mwaka jana. Mpaka wakati huu, Vatican haijatangaza rasmi kile ambacho Papa Leo anakusudia kujadili na makadinali katika mkutano huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *